A Day To Die 2022 - bluce wills DJ

 A Day To Die 2022 - bluce wills


A Day to Die (2022) ni filamu ya kusisimua ya mapigano na uhalifu inayomshirikisha Bruce Willis.

Inamuhusu askari wa zamani aitwaye Connor ambaye analazimika kukusanya pesa nyingi kwa saa 12 ili kumuokoa mke wake aliyetekwa na genge la wahalifu. Ili kufanya hivyo, analazimika kupambana, kuiba, na kupigana na watu hatari.

Filamu inaonyesha:

  • mapenzi ya ndoa

  • kujitoa muhanga

  • hatari ya uhalifu 









































#SINGLE+MOVIE


Post a Comment

0 Comments