TAKERS dj omy

 

TAKERS 
























TAKERS (2010) ni muvi wa uhalifu na msisimko.

Muvi unaelezea kundi la majambazi waliopanga na kutekeleza wizi wa benki kwa ustadi mkubwa bila kuacha ushahidi. Baada ya wizi wao mkubwa wa mwisho, wanapanga wizi hatari zaidi ili wastaafu. Hata hivyo, askari mpelelezi mwenye uzoefu anaanza kuwafuatilia kwa karibu, na hali inageuka kuwa mbaya wanapokaribia kunaswa




TAKERS dj omy   










#SINGLE+MOVIE


Post a Comment

0 Comments